Maleo ETS2 Full 4.3.4 – YENYE MOD YA BONGO
Maelezo ya Mchezo
Maleo ETS2 Full 4.3.4 ni mchezo wa kuendesha mabasi uliotengenezwa kwa simu za Android. Toleo hili lina mod ya mabasi ya Bongo, ambapo unaweza kuendesha mabasi ya kampuni maarufu kama Shabiby Online, ABC, Saratoga, Dolphin, na mengineyo. Utapishana na mabasi mengine barabarani huku ukifurahia mandhari ya Tanzania na Afrika Mashariki.
Maelezo ya Mchezo (Game Details):
- Jina: Maleo ETS2 Full 4.3.4
- Platformu: Android (Mod Game)
- Aina ya Faili: APK + OBB
- Ukubwa: 1GB
- Mod: Mabasi ya Bongo
- Uchezaji: Offline
GAME HILI LINAUZWA GHARAMA YAKE NI TSH 5,000 TUMA NENO MALEO ETS 2 WHATSAPP 0614094367
ZINGATIA: GAME LINAUZWA.
