FTS 2026 NBC MOD APK – Usajili Mpya 2026

  

FTS 2026 NBC MOD APK – Usajili Mpya 2026


Game hili limeboreshwa kwa ligi ya Tanzania (NBC Premier League) likiwa na wachezaji wapya waliokamilisha usajili wa msimu mpya wa 2026. Linaleta uhalisia wa soka la Bongo na lina commentary ya Baraka Mpenja inayoongeza msisimko wa mchezo.

💰 Gharama ya Game: Tsh 5,000 tuuh.


Sifa 5 Kuu za Game

  1. Vikosi Vipya vya wachezaji – kimeboreshwa kwa usajili wa 2026, ndani na nje ya nchi, kama vile usajili mpya simba na yanga.
  2. Ligi ya NBC Premier League – timu zote zikiwa na jezi rasmi na nembo halisi.
  3. Uhalisia wa graphics – picha kali na ubora wa rangi unaovutia.
  4. Viwango vipya vya uchezaji – control rahisi na haraka.
  5. Commentary ya Kiswahili – Ya Baraka mpenjaa yenye msisimko wa sauti kama vile uko uwanjani.

Taarifa za Game

  • Jina la Game: FTS 2026 NBC MOD APK
  • Toleo: Usajili Mpya 2026
  • Usize: 262 MB
  • Mfumo unaohitajika: Android 5.0+
  • Developer: RAJABSYNIC

Jinsi ya Kuseti na Kucheza

  1. Download game kupitia link iliyo hapa chini.
  2. Extract faili kama limewekwa kwenye ZIP/RAR, Download Zarchiver 
  3. Install APK kwenye simu yako.
  4. Copy data/OBB na kuiweka kwenye Android/OBB.
  5. Fungua game na omba code ya kufungua kupitia WhatsApp namba 0614094367.
  6. Baada ya kupewa codeanza kucheza na kufurahia ligi ya NBC 2026.

Download Link

📥 Bofya hapa kudownload FTS 2026 NBC MOD APK


⚠ MUHIMU: Game hili linauzwa kwa Tsh 5,000. Baada ya kudownload, lazima uombe code ya kufungua kupitia WhatsApp: 0614094367.